Tuesday, March 2, 2010

****Umepoteza data katika flash disk yako baada ya kutumia kenye internet cafe au stationary?***

Usiogope,tuletee sisi tutazirudisha kama zilivyokuwa kabla ya kufutika(Deleted)
Zingatia yafuatayo:-
  1. Mara baada ya folder kupotea isipelekwe kwa fundi yeyote
  2. Usiongeze file nyingine yoyote mara baada ya kugundua zimepotea
  3. kama unatumia antivirus inayotumika sana Africa,tutakusaidia kukuwekea nyingine inayotumika sana kwa wateja wengi Europe kurekebisha tatizo hilo.

Contact: 0652 692064 au 0716 291773

 

Buy For less Electronics Copyright © 2010 Gadget Blog is Designed by Ipietoon Sponsored by Online Business Journal