Friday, March 12, 2010

Don Computer Care Services:Tuna recover folder zilizokuwa deleted by viruses

Je, umepoteza files au folders kwenye flash disk yako kutokana na viruses?
Tuletee sisi tutazirudisha kama zilivyokuwa.

Zingatia yafuatayo:-
  1. Mara baada ya folder kupotea, flash disk isipelekwe kwa fundi yeyote.
  2. Usiongeze file nyingine yoyote baada ya kugundua zimepotea.
  3. Kama unatumia antivirus inayotumika sana Africa, basi tutakusaidia kukuwekea inayotumika sana na wateja wa Europe kurekebisha tatizo hilo

Huta apta tatizo kwa mwaka mmoja tuki-install antivirus kwako ya full version kwa Tshs.40,000/= au Tshs.35,000/= kuanzia computer mbili na kuendelea.


Call 0716 291773 or email at doncomputercareservices@gmail.com